JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

Wanajeshi wa JWTZ wakiwa katika gwaride rasmi la kitaifa

"INTELLIGENT WARRIORS" - Maafisa Wanafunzi (Cadets) wakiwa darasani katika Chuo cha Maafisa wa Kijeshi Monduli, Arusha.

Ziara ya wanamaji kutoka China nchini Tanzania

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Magufuli akikagua paredi baada ya kuapishwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la China kwa ajili ya mapokezi yake rasmi alipofanya ziara nchini humo hivi karibuni, kulia kwake ni Mkuu wa Jeshi hilo Jenerali Chen Bingde.

Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Davis Mwamunyange akiongea na aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asharose Migiro alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga, jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Kikwete akiweka Mkuki kwenye Mnara wa Mashujaa.

Luteni Fatuma Yahya Mnekano (aliyeshika usukani) na Praiveti Msuya (kushoto) wa Kamandi ya Wanamaji-Kigamboni wakiwa katika mazoezi ya kawaida katika bahari ya Hindi.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiongea na waandishi wa habari wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara mjini Dar es Salaam

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein, akiangalia mashine ya kufyetua matofali zinazotengenezwa na Shirika la Nyumbu alipotembelea banda la Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika yaliofanyika viwanja vya Mwalimu Nyerere saba saba.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe.  Said Meck Sadick akipokea msaada wa vyakula Vikavu kutoka kwa Brigadia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki. Msaada huo ni kwa ajili ya wananchi walioathirika kwa mafuriko jijini Dar es salaam

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiangalia kwa makini mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali iliyotengenezwa na Shirika la Nyumbu wakati wa wiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru Tanzania Bara

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Luteni Tanu O. Mlowezi ili aupandishe katika Mlima Kilimanjaro

Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru Tanzania Bara, 9 Desemba 2011

Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha utayari wao wa jinsi ya kukabiliana na adui bila kutumia silaha

Askari wakishiriki kwenye maziko ya wahanga wa meli ya MV Skagit

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Magufuli akishuka ngazi baada ya kuapishwa hivi karibuni katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akizungumza na Mwanafunzi Bora Katika Kozi ya Maafisa Wanafunzi Luteni Usu Engelbert Edwin Kessy Katika Chuo cha Kijeshi Monduli, Arusha.

HABARI

Jenerali D. A. Mwamunyange
Mkuu wa Majeshi

Luteni Jenerali
V.S. Mabeyo

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi
UJUMBE KUTOKA KWA MKUU WA MAJESHI
 

Majukumu ya JWTZ

JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

JWTZ lina majukumu yafuatayo:

  1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  4. Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  5. Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
  6. Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  7. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  8. Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa.

Gazeti la Ulinzi


Toleo Namba 57

Videos

Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

JWTZ lasaidia Ujenzi wa Reli

Peacekeeping