• F.A.Q's
  • Contact Us
  • Kiswahili
  • English

Tanzania People's Defence Forces

Frequently Asked Questions

2. Je ni sifa zipi zinahitajika ili niweze kujiunga na JWTZ?

Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: - Awe raia wa Tanzania Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu Awe hajaoa/hajaolewa Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25 Awe na tabia na mwenendo mzuri Awe na akili timamu na afya nzuri

1. When did the TPDF started?

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ilizaliwa rasmi tarehe 01 Septemba 1964, baada ya Jeshi lililokuwepo la Tanganyika Rifles kuasi mnamo tarehe 20 Januari 1964. Baada ya maasi hayo, Tanganyika Rifles ilivunjwa rasmi tarehe 25 Januari 1964.

Latest News

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    3 months ago
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    3 months ago
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    3 months ago
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    4 months ago
  • More

How do I

  • How to be enrolled in TPDF 9 years ago
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ 9 years ago
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ 9 years ago
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ 3 years ago
  • More

Contact Us

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Quick Links

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Related Links

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • State House website - Tanzania
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • National Defence College - Tanzania

Ulinzi Magazine

More

All Rights Reserved. Tanzania People's Defence Forces.