• F.A.Q's
  • Contact Us
  • Kiswahili
  • English

Tanzania People's Defence Forces

News

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    1 month ago

    ​​Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 24 Februari 2026 amefungua rasmi jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa lililopo katika Kijiji cha Kikombo , Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

    Read More
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    1 month ago

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo tarehe 12 Februari 2026 ameweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Jengo la utawala katika Kamandi ya Jeshi la Akiba iliyopo katika kijiji cha Mkiwa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

    Read More
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    2 months ago

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amefunga rasmi Mafunzo ya Askari wapya katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi (RTS) Kihangaiko Msata Mkoani Pwani leo tarehe 31 Januari 2025.

    Read More
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    2 months ago

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Rhimo Simeon Nyansaho, Leo tarehe 20 amefanya ziara katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ( MMUT), Kikombo pamoja na Hospitali Kuu ya Rufaa ya Jeshi Msalato, Jijini Dodoma.

    Read More
  • Meja Jenerali Gaguti Afunga rasmi zoezi la Medani Msata

    Meja Jenerali Gaguti Afunga rasmi zoezi la Medani Msata

    2 months ago

    Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msata tarehe 16 Januari 2026.

    Read More
  • Rais Samia afungua Mkutano wa CDF na Makamanda JWTZ

    Rais Samia afungua Mkutano wa CDF na Makamanda JWTZ

    3 months ago

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi Mkutano wa 09 wa CDF na Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania unaofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga iliyopo Mkoani Tanga leo tarehe 15 Disemba 2025.

    Read More
  • Dr Nyamsaho atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    Dr Nyamsaho atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    4 months ago

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt Rhimo Nyamsaho amefanya ziara fupi Makao Makuu ya Jeshi Msalato Dodoma leo tarehe 05 Desemba 2025 kwa lengo la kujitambulisha.

    Read More
  • Rais Samia atunuku Kamisheni

    Rais Samia atunuku Kamisheni

    4 months ago

    ​Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatunuku kamisheni Maafisa 296 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Katika sherehe iliyofanyika katika Chuo cha Kijeshi Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba 2025.

    Read More
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 34
  • 35
  • ›

Latest News

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    1 month ago
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    1 month ago
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    2 months ago
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    2 months ago
  • More

How do I

  • How to be enrolled in TPDF 9 years ago
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ 9 years ago
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ 9 years ago
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ 3 years ago
  • More

Contact Us

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Quick Links

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Related Links

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • State House website - Tanzania
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • National Defence College - Tanzania

Ulinzi Magazine

More

All Rights Reserved. Tanzania People's Defence Forces.