• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

Viwanda

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limekuwa likijihusisha na shughuli za uzalizashaji mali kupitia viwanda vyake kwa kutumia wataalamu wanajeshi na watumishi wa umma. Jeshi limekuwa likizalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo zana za kilimo, mashine mbalimbali, malighafi zinazotumika katika ujenzi, kupitia viwanda na mashirika yake, kama Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la kujenga taifa (SUMA JKT), Shirika la Mzinga lililopo Mazao Mkoani Morogoro, Mradi wa Nyumbu uliopo Kibaha Pwani, Kiwanda cha kushona kilichopo Ruvu JKT.

Habari Mpya

  • Tanzania kuanzisha Kiwanda cha Magari

    Tanzania kuanzisha Kiwanda cha Magari

    tokea wiki 1
  • Amiri Jeshi Mkuu amzawadia Nyumba Simbu

    Amiri Jeshi Mkuu amzawadia Nyumba Simbu

    tokea wiki 1
  • Sajini Simbu apokelewa Kishujaa

    Sajini Simbu apokelewa Kishujaa

    tokea wiki 2
  • Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    tokea wiki 3
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.