• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Chuo cha Taifa cha Ulinzi chaazimisha Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwake

Chuo cha Taifa cha Ulinzi chaazimisha Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwake Posted On: Friday, 9th September 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amekipongeza Chuo cha Taifa cha Ulinzi kwa kuanzisha mitaala mipya ya kuwasaidia viongozi wa Serikali ngazi ya kati.

Ameyasema hayo wakati wa Maadhimisho ya Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwake mwaka 2012.

Amesema masomo hayo yataongeza ufanisi mkubwa kwa viongozi hao kwani wataweza kuendana na mawazo ya Serikali Kuu hasa katika suala zima la Ulinzi wa Taifa katika kuiletea nchi maendeleo chanya.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa elimu ya ulinzi na stratejia ndio njia pekee ya kuishindana na changamoto za kidiplomasia na uchumi hivyo ni lazima ipewe kipaumbele.

Kabla ya hotuba yake, Mhe. Rais na Amir Jeshi Mkuu alitunukiwa Tuzo ya Heshima kwa kutambua mchango wake katika kuboresha na kuendeleza Chuo cha Taifa cha Ulinzi.

Maadhimisho hayo ya Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwa Chuo Cha Taifa cha Ulinzi yamehudhuriwa na Mabalozi, Waambata Jeshi kutoka nchi rafiki, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania wastaafu.

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.