• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

CIMIC yaendelea kutoa misaada na vifaa tiba kwa wahitaji Kisiwani Unguja Zanzibar

CIMIC yaendelea kutoa misaada na vifaa tiba kwa wahitaji Kisiwani Unguja Zanzibar Posted On: Wednesday, 31st August 2022

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kushirikiana na Majeshi ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki limeendelea kutoa misaada ya dawa na vifaa tiba pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya hospitali na makundi yenye uhitaji maalum kisiwani Unguja Zanzibar.

Zoezi hilo limeongozwa na Mkuu wa Ushirikiano baina ya raia na Majeshi (CIMIC) wa JWTZ Brigedia Jenerali Daktari Agatha Mary Katua.

Akizungumza mara baada ya kutoa misaada hiyo Brigedia Jenerali Daktari Katua ambaye pia ni Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, amesema kuwa wananchi wanatakiwa kutambua kuwa JWTZ ni Jeshi lao na liko kwa ajili yao.

Amesema kuwa huu ni mwanzo tu wa ushirikiano kati ya Jeshi na wananchi lakini wategemee ushirikiano mkubwa zaidi.

Utoaji wa misaada hiyo ni muendelezo wa wiki ya ushirikiano kati ya Jeshi na wananchi kutoka Majeshi ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na kilele chake ni tarehe mosi Septemba siku ambayo ni siku ya Majeshi (JWTZ).

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.