• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Posted On: Tuesday, 20th January 2026

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Rhimo Simeon Nyansaho, Leo tarehe 20 amefanya ziara Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ( MMUT), Kikombo pamoja na Hospitali Kuu ya Rufaa ya Jeshi Msalato, Jijini Dodoma.

Mhe. Nyansaho alianza kwa kutembelea MMUT ambapo alipokelewa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Salum Haji Othman.

Akiwa MMUT, Waziri Nyansaho alitembelea ofisi mbalimbali zilizopo katika jengo hilo na kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi huo wa ujenzi ulioanza rasmi mwaka 2020.

Baada ya kumaliza ziara yake MMUT, Waziri Nyansaho alielekea Hospitali Kuu ya Rufaa ya Kijeshi iliyoko Msalato ambapo pia alipata wasaa wa kuona ni kwa namna gani mradi huo umefikia katika hatua nzuri.

Mhe. Waziri Nyansaho, amefurahishwa na ujenzi wa Hospitali hiyo ya Jeshi na amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa Hospitali yenye uwezo wa kutoa huduma nzuri na za kiwango cha juu za matibabu hasa katika Jiji la Dodoma na hivyo kukamilika kwa Hospitali hiyo kutahakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya Jijini Dodoma

Waziri huyo amemaliza ziara yake huku akilipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa hatua iliyofikiwa katika miradi hiyo.

Habari Mpya

  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    tokea wiki 1
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    tokea wiki 3
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea mwezi 1
  • Meja Jenerali Gaguti Afunga rasmi zoezi la Medani Msata

    Meja Jenerali Gaguti Afunga rasmi zoezi la Medani Msata

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.