• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Mnadhimu Mkuu JWTZ akabidhi bendera kwa wanamichezo watakaoshiriki Michezo ya Majeshi EAC.

Mnadhimu Mkuu JWTZ akabidhi bendera kwa wanamichezo watakaoshiriki Michezo ya Majeshi EAC. Posted On: Wednesday, 31st July 2019

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Yakubu Mohamedi, amekabidhi rasmi Bendera ya Taifa kwa Maafisa na Askari wanamichezo wapatao 90 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaotarajia kushiriki katika michezo ya Majeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo inatarajiwa kuanza rasmi tarehe 13 hadi 23 Aug 19 nchini Kenya.

Michezo hiyo itashirikisha nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ikiwamo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan Kusini pamoja na wenyeji Kenya.

Luteni Jenerali Yakubu Mohamedi kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi amemkabidhi rasmi Bendera Mkuu wa Msafara Meja Jenerali Sharif Othman ambaye pia ni Mkuu wa Kamandi Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi kuashiria utayari wa kuanza safari ya kuelekea nchini Kenya kwenye mashindano hayo

Timu za wanamichezo wa JWTZ zitakazopeperusha bendera ya Taifa nchini Kenya ni pamoja na mpira wa Miguu, mpira wa Wavu, mpira wa Pete, mpira wa Kikapu na Riadha.

Akizungumza na wanamichezo na Viongozi wa Timu hizo Luteni Jenerali Yakub Mohamedi amewataka wawakilishi hao kwenda kushindana na kurudi na mataji mbalimbali huku akisisitiza kuendeleza Nidhamu na ushirikiano ndani na nje ya uwanja

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.