• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani

​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani Posted On: Thursday, 18th February 2021

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias Kwandikwa ametiliana saini na Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Regina Hess Mkataba wa Ujenzi wa Hospitali ya Kijeshi Jijini Dodoma tarehe 18 Februari 2021.

Akiongea kwa niaba ya Serikali, Waziri Kwandikwa aliishukuru Serikali ya Ujerumani Kupitia kwa Ubalozi wake Nchini kwa kudhamini Mradi huo wenye maslahi kwa Jeshi na Taifa.

Kabla ya Kutiliana saini Mkataba huo, pande zote zilitembelea Kituo cha Magonjwa ya kuambukiza katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia Kituo cha Magonjwa ya Kuambukiza, Balozi Regina alisema kituo hicho cha Afya kimegharimu Sh. Bilioni 21 na kitasaidia kuwatibu wagonjwa wa magonjwa ya Milipuko.

Kwa Upande wake Kamanda wa Kikosi cha GAFTAG Luteni Kanali Thomas Nolbash alisema licha ya Bajeti kuwa finyu lakini watahakikisha mradi wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jijini Dodoma anakamilika kwa viwango na wakati.

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.