• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • JWTZ laadhimisha siku ya michezo ya majeshi duniani

    JWTZ laadhimisha siku ya michezo ya majeshi duniani

    tokea miaka 7

    JWTZ limeungana na majeshi mengine duniani kuadhimisha siku ya michezo ya majeshi iliyofanyika katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT , Upanga jijini Dar es Salaam

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu amuapisha Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu amuapisha Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    tokea miaka 7

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Februari 2018 amemuapisha Luteni Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

    tokea miaka 7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo tarehe 06 Februari 2018.

    Soma zaidi
  • ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania akabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania akabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    tokea miaka 7

    ​​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo leo tarehe 06 Februari 2018 amekabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya

    tokea miaka 7

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi Marafiki

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu wa JWTZ asisitiza kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi.

    Mnadhimu Mkuu wa JWTZ asisitiza kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi.

    tokea miaka 7

    Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali James Mwakibolwa amewataka Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma wa Jeshi hilo kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi wakati wanapotekeleza majukumu yao.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Majeshi atoa salamu za Mwaka Mpya

    Mkuu wa Majeshi atoa salamu za Mwaka Mpya

    tokea miaka 7

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ametoa salamu za mwaka mpya kwa Wanajeshi wote nchini kupitia watendaji wa Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Mashujaa Wetu Waagwa

    Mashujaa Wetu Waagwa

    tokea miaka 7

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Miili ya Askari wake waliouwawa nchini DRC leo

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.