Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe (MB), tarehe 18 May 2018 amefungua rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) 2018 katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMsemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Kanali Ramadhani Dogoli amezungumzia ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) utakaofanyika kesho tarehe 8 Mei, 2018 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu ushirikiano katika Nyanja ya ulinzi umefanyika Jijini Arusha. Mkutano huo umejadili masuala mbalimbali ili kudumisha ushirikiano.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo anasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dagobert Komba (Mstaafu)kilichotokea tarehe 29 April 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es salaam.
Soma zaidiSherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika tarehe 26 Aprili 2018 katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amekutana na Maafisa Wakuu na Maafisa Wadogo wa Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tarehe 20 Aprili, 2018 wakati wa 'Happy hour' iliyofanyika katika bwalo la Maafisa Upanga jijini Dar es salaam.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amewavisha vyeo Maafisa Wakuu waliopandishwa vyeo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo Aprili 06, 2018 amezindua ukuta uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite Mererani mkoani Manyara.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.