• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Umoja wa Mataifa yaadhimisha Siku ya Walinda Amani Duniani,

    Umoja wa Mataifa yaadhimisha Siku ya Walinda Amani Duniani,

    tokea miaka 6

    Tarehe 29 Mei ni siku ya Walinda Amani ambayo huadhimishwa kila mwaka Duniani kote. Kauli mbiu ya Maadhimisho kwa mwaka huu ni “Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa: Miaka 70 ya Huduma na Kujitoa”.

    Soma zaidi
  • CDF Cup 2018 yafungwa rasmi

    CDF Cup 2018 yafungwa rasmi

    tokea miaka 6

    Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF CUP’ 2018 yamefungwa rasmi leo Mei 18, 2018 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo

    Soma zaidi
  • Rais Dkt. John Pombe Magufuli azindua kituo cha Uwekezaji

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli azindua kituo cha Uwekezaji

    tokea miaka 6

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 17, 2018 amezindua Kituo cha Uwekezaji cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Soma zaidi
  • CDF Cup 2018 yafunguliwa Rasmi

    CDF Cup 2018 yafunguliwa Rasmi

    tokea miaka 7

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe (MB), tarehe 18 May 2018 amefungua rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) 2018 katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Waziri Mwakyembe kufungua Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi

    Waziri Mwakyembe kufungua Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi

    tokea miaka 7

    Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Kanali Ramadhani Dogoli amezungumzia ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) utakaofanyika kesho tarehe 8 Mei, 2018 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Mkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika Arusha

    Mkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika Arusha

    tokea miaka 7

    Mkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu ushirikiano katika Nyanja ya ulinzi umefanyika Jijini Arusha. Mkutano huo umejadili masuala mbalimbali ili kudumisha ushirikiano.

    Soma zaidi
  • TANZIA

    TANZIA

    tokea miaka 7

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo anasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dagobert Komba (Mstaafu)kilichotokea tarehe 29 April 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es salaam.

    Soma zaidi
  • Maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano Yafana

    Maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano Yafana

    tokea miaka 7

    Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika tarehe 26 Aprili 2018 katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.