• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Jenerali Mkunda avisha Nishani Kanda ya Mbeya

    Jenerali Mkunda avisha Nishani Kanda ya Mbeya

    tokea mwezi 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Maafisa na Askari wa JWTZ jijini Mbeya leo tarehe 26 Machi 2025.

    Soma zaidi
  • Luteni Jenerali Othman ateta na Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu wa Afrika Kusini

    Luteni Jenerali Othman ateta na Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu wa Afrika Kusini

    tokea mwezi 1

    Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman amempokea na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu la Afrika ya Kusini Luteni Jenerali Sizakele Charmin Mbatha ofisini kwake Upanga Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Machi 2025.

    Soma zaidi
  • ​JWTZ Yahitimisha Mafunzo ya Soka la Ufukweni

    ​JWTZ Yahitimisha Mafunzo ya Soka la Ufukweni

    tokea miezi 2

    Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amefunga rasmi mafunzo ya Mchezo wa Soka la Ufukweni yaliyoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Soma zaidi
  • Kamati ya Bunge yakagua Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Kamati ya Bunge yakagua Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea miezi 2

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Dodoma leo tarehe 12 Machi 2025 na kupongeza mafanikio yaliyofikiwa.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda ateta na Balozi wa India nchini Tanzania

    Jenerali Mkunda ateta na Balozi wa India nchini Tanzania

    tokea miezi 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India hapa nchini Mhe. Bishwadip Dey ofisini kwake Msalato Jijini Dodoma leo tarehe 10 Machi 2025

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda atoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Rais

    Jenerali Mkunda atoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Rais

    tokea miezi 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha Salamu za rambirambi kwa familia za wapiganaji

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda awapongeza Maafisa na Askari

    Jenerali Mkunda awapongeza Maafisa na Askari

    tokea miezi 2

    ​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali, Maafisa na Askari wa JWTZ Kanda ya Songea tarehe 28 Februari 2025.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda ashiriki Maadhimisho ya Miaka 120 ya Kumbukumbu ya Vita vya Majimaji

    Jenerali Mkunda ashiriki Maadhimisho ya Miaka 120 ya Kumbukumbu ya Vita vya Majimaji

    tokea miezi 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amewaongoza maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani katika Maadhimisho ya Miaka 120 ya Kumbukumbu ya Vita vya Majimaji yaliyofanyika tarehe 27 Februari 25 katika eneo la Makumbusho ya Vita vya Majimaji Mjini Songea.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.