• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • JWTZ YAMPOKEA BONDIA SULEMANI KIDUNDA

    JWTZ YAMPOKEA BONDIA SULEMANI KIDUNDA

    tokea miaka 2

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 31 Julai 2022 limempokea rasmi bondia kutoka timu teule ya ngumi ya Jeshi Sajinitaji Sulemani Kidunda katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo (mstaafu) aagwa rasmi kwa gwaride maalum

    Jenerali Mabeyo (mstaafu) aagwa rasmi kwa gwaride maalum

    tokea miaka 2

    Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (mstaafu) ameagwa rasmi kwa gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake.

    Soma zaidi
  • JENERALI MKUNDA AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR

    JENERALI MKUNDA AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR

    tokea miaka 2

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kumtembelea Ikulu ya Zanzibar tarehe 14 Julai 2022.

    Soma zaidi
  • Mkuu Wa Majeshi  Akabidhiwa Ofisi

    Mkuu Wa Majeshi Akabidhiwa Ofisi

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akabidhiwa ofisi na aliyekuwa mtangulizi wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

    Soma zaidi
  • Wanadhimu Wakuu Wafanya Makabidhiano

    Wanadhimu Wakuu Wafanya Makabidhiano

    tokea miaka 2

    Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Salum Haji Othman ameanza kazi rasmi tarehe 04 Julai 2022 baada ya kufanyika makabidhiano na aliyekuwa mtangulizi wake

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mnadhimu Mkuu Waapishwa

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Mnadhimu Mkuu Waapishwa

    tokea miaka 2

    ​​Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenerali Jacob Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi pamoja na Luteni Jenerali Salim Othman kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo Ahitimisha Mafunzo

    Jenerali Mabeyo Ahitimisha Mafunzo

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amehitimisha mafunzo ya awali ya kijeshi katika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi RTS Kihangaiko iliyopo eneo la Msata mkoani Pwani

    Soma zaidi
  • 67 WAHITIMU CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU

    67 WAHITIMU CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU

    tokea miaka 2

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Stagomena Tax leo tarehe 18 Juni 2022 ametunuku Stashahada na Shahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Ulinzi na Usalama kwa jumla ya Maafisa 67 waliokua katika Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo Duluti Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.