• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Mafunzo ya awali kwa Askari wapya wa JWTZ kundi la 41/22 yafungwa

    Mafunzo ya awali kwa Askari wapya wa JWTZ kundi la 41/22 yafungwa

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda amefunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa Askari wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kundi la 41/22 katika Shule ya Mafunzo ya awali ya kijeshi Kihangaiko kwa Gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake.

    Soma zaidi
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax avisihi vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax avisihi vyombo vya Ulinzi na Usalama

    tokea miaka 2

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kushirikiana ili kuilinda nchi ya Tanzania.

    Soma zaidi
  • Tanzania na Jamhuri ya Comoro zaimarisha ushirikiano kijeshi

    Tanzania na Jamhuri ya Comoro zaimarisha ushirikiano kijeshi

    tokea miaka 2

    Tanzania na Jamhuri ya Comoro zimetiliana saini mkataba wa ushirikiano kwenye nyanja za kijeshi.

    Soma zaidi
  • Chuo cha Taifa cha Ulinzi chaazimisha Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwake

    Chuo cha Taifa cha Ulinzi chaazimisha Miaka Kumi tangu kuanzishwa kwake

    tokea miaka 2

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amekipongeza Chuo cha Taifa cha Ulinzi kwa kuanzisha mitaala mipya ya kuwasaidia viongozi wa Serikali ngazi ya kati.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Majeshi ya Msumbiji atembelez Tanzania

    Mkuu wa Majeshi ya Msumbiji atembelez Tanzania

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Msumbiji Admiral Joaquin Rivas Mangrasse amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda wakati wa ziara yake ya kikazi hapa nchini.

    Soma zaidi
  • CIMIC yaendelea kutoa misaada na vifaa tiba kwa wahitaji Kisiwani Unguja Zanzibar

    CIMIC yaendelea kutoa misaada na vifaa tiba kwa wahitaji Kisiwani Unguja Zanzibar

    tokea miaka 2

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kushirikiana na Majeshi ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki limeendelea kutoa misaada ya dawa na vifaa tiba pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya hospitali na makundi yenye uhitaji maalum kisiwani Unguja Zanzibar.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi atembelea Tanzania

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi atembelea Tanzania

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Vincent Nundwe leo tarehe 24 Agosti 2022 amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi ya zamani yaliyopo Upanga Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Jacob Mkunda.

    Soma zaidi
  • WABUNGE NA WATUMISHI WA BUNGE 39 WAHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA

    WABUNGE NA WATUMISHI WA BUNGE 39 WAHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Utumishi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli amefunga rasmi mafunzo ya JKT kundi maalum la kwa mujibu wa sheria kwa waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Operesheni Jenerali Mabeyo.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.