• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda

    Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda

    tokea miezi 7

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Baran Sillo amefungua kikao cha Wakuu wa Viwanda na Mashirika ya Kijeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Soma zaidi
  • JWTZ, Marekani wahitimisha zoezi "CUTLASS EXPRESS"

    JWTZ, Marekani wahitimisha zoezi "CUTLASS EXPRESS"

    tokea miezi 7

    JWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Marekani pamoja na Majeshi ya Mataifa mengine 13 wamehitimisha Zoezi la pamoja la Kijeshi la Majini "CUTLASS EXPRESS"

    Soma zaidi
  • Meja Jenerali Gaguti azungumza na RC Kagera

    Meja Jenerali Gaguti azungumza na RC Kagera

    tokea miezi 7

    Mkuu wa Tawi la Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Fatma Mwasa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera tarehe 20 Februari 2025.

    Soma zaidi
  • NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea mwaka 1

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda atembelea Meli Tiba

    Jenerali Mkunda atembelea Meli Tiba

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea Meli Tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Peace Ark ili kuona matibabu yanavyofanyika.

    Soma zaidi
  • Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda

    Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda

    tokea mwaka 1

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Soma zaidi
  • 69 Wahitimu Chuo cha Ukamanda na Unadhimu

    69 Wahitimu Chuo cha Ukamanda na Unadhimu

    tokea mwaka 1

    Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) yamefanyika leo tarehe 15 Julai 2024, Duluti Arusha.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa na Askari

    Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa na Askari

    tokea mwaka 1

    Jenerali Jacob John Mkunda amewavisha nishani Maafisa na Askari wa Vikosi vilivyoko Kanda ya Dar es salaam na Pwani kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 32
  • 33
  • ›

Habari Mpya

  • Tanzania kuanzisha Kiwanda cha Magari

    Tanzania kuanzisha Kiwanda cha Magari

    tokea wiki 1
  • Amiri Jeshi Mkuu amzawadia Nyumba Simbu

    Amiri Jeshi Mkuu amzawadia Nyumba Simbu

    tokea wiki 1
  • Sajini Simbu apokelewa Kishujaa

    Sajini Simbu apokelewa Kishujaa

    tokea wiki 2
  • Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    tokea wiki 3
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.