• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda

    Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda

    tokea miezi 10

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Soma zaidi
  • 69 Wahitimu Chuo cha Ukamanda na Unadhimu

    69 Wahitimu Chuo cha Ukamanda na Unadhimu

    tokea miezi 10

    Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) yamefanyika leo tarehe 15 Julai 2024, Duluti Arusha.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa na Askari

    Jenerali Mkunda awavisha nishani Maafisa na Askari

    tokea miezi 11

    Jenerali Jacob John Mkunda amewavisha nishani Maafisa na Askari wa Vikosi vilivyoko Kanda ya Dar es salaam na Pwani kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda awataka kutekeleza majukumu kwa Weledi

    Jenerali Mkunda awataka kutekeleza majukumu kwa Weledi

    tokea miezi 11

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amewataka Maafisa na Askari wa JWTZ, Vyombo vya Usalama pamoja na Watumishi kutoka Taasisi za Serikali kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.

    Soma zaidi
  • Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa CISM

    Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa CISM

    tokea mwaka 1

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amelipongeza Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa CISM.

    Soma zaidi
  • Waziri Tax azindua bomu la kufukuza Tembo.

    Waziri Tax azindua bomu la kufukuza Tembo.

    tokea mwaka 1

    Waziri wa Ulinzi na JKT Mheshimiwa Dkt Stergomena Tax amezindua bomu baridi lenye uwezo mkubwa wa kutawanya makundi ya Tembo yanayovamia makazi ya watu

    Soma zaidi
  • Jenerali  Mkunda atembelewa na Mkuu wa Usalama wa Jeshi la India

    Jenerali Mkunda atembelewa na Mkuu wa Usalama wa Jeshi la India

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Usalama wa Jeshi la India, Luteni Jenerali Dokta Dinesh Singh Rana ofisini kwake, Upanga Jijini Dar Es Salaam.

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu wa JWTZ akutana na ujumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    Mnadhimu Mkuu wa JWTZ akutana na ujumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    tokea mwaka 1

    Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Salum Haji Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo,Navy Captain Robert Recchie Upanga, Jijini Dar es Salaam .

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.