Nchi ya Zimbabwe leo imekabidhiwa Uenyekiti wa Kikundi Kazi cha Rasilimali Watu cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Soma zaidiMkuu wa Tawi la Ugavi na Uhandisi wa JWTZ Meja Jenerali Hawa Kodi amewataka Wataalam wa Lojistiki ndani ya JWTZ kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao wakati wa Amani na wakati wa vita.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewatunuku kamisheni Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
Soma zaidiMkuu wa Tawi la Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amefunga Mafunzo ya Awali ya Kijeshi kwa Askari wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Dokta Stergomena Lawrance Tax asisitiza umuhimu wa mafunzo maalum ya kijeshi ili kuwa na jeshi imara katika kulinda mipaka ya nchi.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa siku saba kwa wananchi wanaomiliki sare za Majeshi au zinazofanana nazo kinyume na sheria kuzisalimisha sare hizo.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Innocent Lugha Bashungwa atembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi inayojengwa Msalato Jijini Dodoma.
Soma zaidiWahariri wa Habari hapa nchini wametakiwa kuimarisha usalama na umoja wa kitaifa kwa kutokuandika habari zenye uchochezi na uvunjifu wa amani wa Taifa.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.