• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amefunga rasmi zoezi la kivita KAA TAYARI lililokuwa linafanyika katika misitu ya Nyahua Wilayani Sikonge Mkoani Tabora.

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    tokea miaka 2

    Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othuman amefungua rasmi kikao cha 20 cha Huduma za Afya kwa Majeshi ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Jijini Arusha.

    Soma zaidi
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea miaka 2

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana wa Kitanzania wenye elimu ya kuanzia Kidato cha Nne hadi Shahada ya Uzamili ambao wamemaliza Mkataba wa Mafunzo ya Kujitolea JKT na kurudishwa majumbani.

    Soma zaidi
  • Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    tokea miaka 2

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 740 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Kijeshi cha Maafisa Monduli, Jijini Arusha tarehe 26 Novemba 2022.

    Soma zaidi
  • Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    tokea miaka 2

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kuonesha utayari wa hali ya juu wa kuilinda mipaka ya nchi ya Jamhri ya Muungano wa Tanzania.

    Soma zaidi
  • Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Meja Jenerali Shabani Balaghash Mani amefungua rasmi zoezi la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lijulikanalo kama Dragon Fly katika Mikoa ya Lindi na Mtwara.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda atembelea Vikosi vya Jeshi Kanda ya Arusha

    Jenerali Mkunda atembelea Vikosi vya Jeshi Kanda ya Arusha

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo ameanza ziara ya kutembelea na kufanya ukaguzi wa Vikosi, Vyuo na Shule za Kijeshi Mkoani Arusha ili kujionea utayari wa Kivita na Mafunzo.

    Soma zaidi
  • Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi la mchezo wa Gofu "CDF Golf Trophy 2022" yafungwa

    Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi la mchezo wa Gofu "CDF Golf Trophy 2022" yafungwa

    tokea miaka 2

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda amefunga rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi la mchezo wa Gofu "CDF Golf Trophy 2022" katika viwanja vya Gofu Lugalo Jijini Dar es Salaam na kutoa zawadi mbalimbali kwa washindi wa mchezo huo.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.