• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi

    tokea miaka 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua jengo jipya la Chuo Cha Ulinzi cha Taifa (NDC) kilichopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo azindua kituo cha Burudani

    Jenerali Mabeyo azindua kituo cha Burudani

    tokea miaka 3

    ​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo amewataka wakuu wa vikosi vya JWTZ na JKT kuwa wabunifu katika kubuni miradi mbalimbali ya kibiashara ili Kujenga uwezo wa kifedha wa kuhudumia shughuli mbalimbali za Kijeshi ikiwemo Mafunzo ya Vijana.

    Soma zaidi
  • Waziri wa Ulinzi na JKT Atembelea Kamandi ya Wanamaji

    Waziri wa Ulinzi na JKT Atembelea Kamandi ya Wanamaji

    tokea miaka 3

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax amefanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Tanzania yaliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam tarehe 12 Octoba 21

    Soma zaidi
  • Waziri wa Ulinzi na JKT aitembelea Makao Makuu ya Jeshi

    Waziri wa Ulinzi na JKT aitembelea Makao Makuu ya Jeshi

    tokea miaka 3

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) leo tarehe 28 Septemba 2021 ameitembelea Makao Makuu ya Jeshi yaliyopo Msalato, jijini Dodoma.

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu atembelea Vikosi na Shule

    Mnadhimu Mkuu atembelea Vikosi na Shule

    tokea miaka 3

    ​Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Methew Mkingule amefanya ziara katika vikosi vilivyopo mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es salaam.

    Soma zaidi
  • Wizara ya Ulinzi na JKT yapata Waziri mpya

    Wizara ya Ulinzi na JKT yapata Waziri mpya

    tokea miaka 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri ambapo tarehe 13 Septemba, 2021 amemuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

    Soma zaidi
  • Mafunzo Maalum ya Kupambana na Vitendo vya Uhalifu Duniani Yahitimishwa

    Mafunzo Maalum ya Kupambana na Vitendo vya Uhalifu Duniani Yahitimishwa

    tokea miaka 3

    Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi amehitimisha rasmi mafunzo maalum ya kupambana na vitendo vya uhalifu vinavyojitokeza kwenye mataifa mbalimbali duniani

    Soma zaidi
  • WANADHIMU WAKUU WAFANYA MAKABIDHIANO:

    WANADHIMU WAKUU WAFANYA MAKABIDHIANO:

    tokea miaka 3

    Aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Balozi Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed leo tarehe 23 Agosti, 2021 amemkabidhi ofisi Mnadhimu Mkuu anayechukua nafasi yake, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.