• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • JWTZ LAPATA MNADHIMU MKUU MPYA

    JWTZ LAPATA MNADHIMU MKUU MPYA

    tokea miaka 3

    Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Meja Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania.

    Soma zaidi
  • JKT kukutana na Ngome kwenye fainali

    JKT kukutana na Ngome kwenye fainali

    tokea miaka 3

    Timu ya mpira wa kikapu ya JKT wanaume yatinga nusu fainali katika mashindano ya BAMMATA yanayoendelea jijini Dodoma

    Soma zaidi
  • ​Buriani Waziri Kwandikwa

    ​Buriani Waziri Kwandikwa

    tokea miaka 3

    Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan awaongoza wananchi kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias John Kwandikwa.

    Soma zaidi
  • JWTZ na Jeshi la Marekani kushirikiana kwenye mafunzo

    JWTZ na Jeshi la Marekani kushirikiana kwenye mafunzo

    tokea miaka 3

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kushirikiana na Jeshi la Marekani wamefungua Mafunzo Maalum ya kukabiliana na Vitendo vya Uhalifu ikiwemo Ugaidi na Uharamia.

    Soma zaidi
  • Rais Samia Suluhu Hassan azindua hospitali ya JWTZ

    Rais Samia Suluhu Hassan azindua hospitali ya JWTZ

    tokea miaka 3

    ​Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua hospitali ya JWTZ iliyofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la nchi hiyo (GAFTAG)

    Soma zaidi
  • JWTZ laadhimisha siku ya mazingira

    JWTZ laadhimisha siku ya mazingira

    tokea miaka 3

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeadhimisha siku ya Mazingira duniani leo tarehe 05 Juni, 2021

    Soma zaidi
  • Brigedia Jenerali Mabele Mkuu wa JKT

    Brigedia Jenerali Mabele Mkuu wa JKT

    tokea miaka 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Mei 2021 amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Nduku Mabele kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Jeshi la Umoja wa Mataifa aitembelea Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Umoja wa Mataifa aitembelea Tanzania

    tokea miaka 4

    Mkuu wa Jeshi la Umoja wa Mataifa linalotekeleza jukumu la ulinzi wa amani chini ya mpango wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), Luteni Jenerali Sidiki Daniel Traore amefanya ziara ya kikazi nchini

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • ...
  • 31
  • 32
  • ›

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 1
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 2
  • Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    Meja Jenerali Nkambi ateta na Ujumbe kutoka Jeshi la Uganda

    tokea wiki 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.