Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo leo tarehe 06 Februari 2018 amekabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi Marafiki
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali James Mwakibolwa amewataka Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma wa Jeshi hilo kufanya kazi kwa juhudi, maarifa, nidhamu na weledi wakati wanapotekeleza majukumu yao.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ametoa salamu za mwaka mpya kwa Wanajeshi wote nchini kupitia watendaji wa Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Miili ya Askari wake waliouwawa nchini DRC leo
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linategemea kuaga Miili ya Mashujaa wetu waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea miili ya mashujaa 14 wa Jeshi hilo waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amehutubia mamia ya watanzania leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.