From: Wednesday, 26th April 2017
To: Wednesday, 26th April 2017
Location: Tanzania
Sherehe za Muungano hufanyika kila mwaka nchini Tanzania.tarehe 26 April. Sherehe hizi zilianza baada ya Waasisi kubadilishana Kanuni na Misingi ya Muungano kwa kuchanganya udongo wa Tanganyika na ule wa Zanzibar kuwa ni ishara ya Muungano wa nchi mbili. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Mzee Rashid Mfaume Kawawa alikuwa Makamu wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.