Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: - Awe raia wa Tanzania Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu Awe hajaoa/hajaolewa Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25 Awe na tabia na mwenendo mzuri Awe na akili timamu na afya nzuri
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ilizaliwa rasmi tarehe 01 Septemba 1964, baada ya Jeshi lililokuwepo la Tanganyika Rifles kuasi mnamo tarehe 20 Januari 1964. Baada ya maasi hayo, Tanganyika Rifles ilivunjwa rasmi tarehe 25 Januari 1964.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.