• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Kamandi ya MMJ

8Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi

Kuanzishwa kwa Kamandi

Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi ni Kamandi mpya ambayo uanzishwaji wake ulianza rasmi baada ya kikao kilichofanyika chini ya Halmashauri ya Majeshi ya Ulinzi kwa kupitisha uamuzi wa kuanzishwa kwake mwaka 2013.

Kamandi ilianza kama GOC kwa kufuata mtiririko maalum hadi kufikia Kamandi kamili. Tangu Kamandi ianzishwe iliongozwa na Makamanda wafuatao:

  • Meja Jenerali HV Chema kuanzia tarehe 01 Jul 14 hadi 28 Sep 14
  • Brigedia Jenerali JK Mrema kuanzia tarehe 06 Jun 11 hadi 30 Jun 14
  • Brigedia Jenerali DB Mrope kuanzia tarehe 29 Sep 14 hadi 15 Sep 15
  • Meja Jenerali IS Nassor kuanzia tarehe 16 Sep 15 hadi 18 Feb 16
  • Brigedia Jenerali DB Mrope kuanzia tarehe 19 Feb 16 hadi 9 Jul 17
  • Meja Jenerali SS Othman kuanzia tarehe 15 Feb 18 hadi 30 Jun 20.
  • Brigedia Jenerali RG Mwaisaka kuanzia tarehe 01 Jul 20 hadi 11 Jun 21, baada ya kupandishwa cheo kipya kuwa Meja Jenerali aliteuliwa kuendelea kuongoza Kamandi hiyo tarehe 11 Jun 2021 hadi hivi sasa.

Majukumu ya Kamandi

  • Kushughulika na utawala na uendeshaji wa vikosi na shule zilizopo chini ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Kuhakikisha maelekezo yanayotolewa na Makao Makuu ya Jeshi yanawafikia walengwa na yanatekelezwa.
  • Kusimamia mafunzo na utayari kivita wa vikosi ni wa hali ya juu wakati wote
  • Kuhakikisha zana na vifaa vinakuwa katika hali nzuri kiutendaji



Habari Mpya

  • Washiriki  Zoezi Ushirikiano Imara 2022 Wakabidhiwa Bendera

    Washiriki Zoezi Ushirikiano Imara 2022 Wakabidhiwa Bendera

    tokea masaa 23
  • Mnadhimu Mkuu Azindua Semina Ya Wataalamu Wa Saikolojia

    Mnadhimu Mkuu Azindua Semina Ya Wataalamu Wa Saikolojia

    tokea siku 2
  • JWTZ Latuma Salamu za Rambirambi kwa Wakenya

    JWTZ Latuma Salamu za Rambirambi kwa Wakenya

    tokea wiki 3
  • Mkuu wa Majeshi Uganda Afanya Ziara

    Mkuu wa Majeshi Uganda Afanya Ziara

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 5
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 5
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 5
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 5
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.