• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Rais azindua jengo la MMUT

Rais azindua jengo la MMUT Posted On: Tuesday, 24th February 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 24 Februari 2026 amefungua rasmi jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa lililopo katika Kijiji cha Kikombo , Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Katika uzinduzi huo Mh Rais aliwataka Maafisa na Askari kuendelea kuviishi viapo vyao kwa Ustawi wa Ulinzi na usalama wa Taifa la Tanzania.

Amesisitiza kuwa Jengo lililozinduliwa liwe chachu ya mageuzi ya kifikra katika mstakabali wa maendeleo ya Ulinzi wa Taifa.

Naye Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda alimshukuru Mh Rais kwa kutenga mda wake kwaajili ya Uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa pamoja na kuruhusu utekelezaji wa ujenzi huo kwa kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi huo.

Pia aliwashukuru Maafisa na Askari pamoja na taasisi za Umma ikiwemo, Tanesco, Duwasa, Tarura, Halmashauri ya Jiji Dodoma pamoja na makampuni yaliyo chini ya JWTZ ambayo ni SumaJKT na Ngome J&U kwa ushirikiano walioutoa kwa pamoja katika kutekeleza dhamira ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo.

Habari Mpya

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    tokea masaa 2
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    tokea wiki 1
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    tokea wiki 3
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.