Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea Meli Tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Peace Ark ili kuona matibabu yanavyofanyika.
Soma zaidiKikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Soma zaidiMahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) yamefanyika leo tarehe 15 Julai 2024, Duluti Arusha.
Soma zaidiJenerali Jacob John Mkunda amewavisha nishani Maafisa na Askari wa Vikosi vilivyoko Kanda ya Dar es salaam na Pwani kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi amewataka Maafisa na Askari wa JWTZ, Vyombo vya Usalama pamoja na Watumishi kutoka Taasisi za Serikali kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.
Soma zaidiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amelipongeza Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa CISM.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na JKT Mheshimiwa Dkt Stergomena Tax amezindua bomu baridi lenye uwezo mkubwa wa kutawanya makundi ya Tembo yanayovamia makazi ya watu
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.