• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,latoa ufafanuzi juu ya kujiunga na mafunzo ya JKT na ajira za JWTZ

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,latoa ufafanuzi juu ya kujiunga na mafunzo ya JKT na ajira za JWTZ

    tokea miaka 9

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),linapenda kutoa tahadhari kwa umma juu ya utapeli kuhusu ajira.

    Soma zaidi
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora watembelea JWTZ

    Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora watembelea JWTZ

    tokea miaka 9

    Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala bora watembelea Makao Makuu ya JWTZ,Upanga jijini Dar es salaam hivi karibuni.

    Soma zaidi
  • Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe afungua rasmi mashindano ya kombe la Mkuu wa Majeshi

    Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe afungua rasmi mashindano ya kombe la Mkuu wa Majeshi

    tokea miaka 9

    Mashindano haya yalianzishwa rasmi mwaka 2014. Lengo la mashindano haya ni kudumisha mshikamano, kuvumbua na kukuza vipaji,

    Soma zaidi
  • Tamko la Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Kuhusu Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi 2017.

    Tamko la Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Kuhusu Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi 2017.

    tokea miaka 9

    Mashindano ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 Mei 2017 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Kikao cha Kamati ya utendaji ya Ulinzi na usalama ya Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC)

    Kikao cha Kamati ya utendaji ya Ulinzi na usalama ya Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC)

    tokea miaka 9

    Kikao hicho hufanyika kila mwaka kwa mzunguko ndani ya nchi mwananchama ambapo mwaka huu kimefanyika nchini Tanzania, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho.

    Soma zaidi
  • Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Yafana

    Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Yafana

    tokea miaka 9

    Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika tarehe 26 Aprili 2017 mjini Dodoma mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Uwanja wa ndege vita.

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Uwanja wa ndege vita.

    tokea miaka 9

    Hivi karibuni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania Mhe:Dkt John Pombe Joseph Magufuli amezindua uwanja wa ndege vita uliopo Mkoani Morogoro.

    Soma zaidi
  • Jenerali Venance Salvatory Mabeyo nahodha mpya JWTZ

    Jenerali Venance Salvatory Mabeyo nahodha mpya JWTZ

    tokea miaka 9

    Hafla ya kuapishwa Jenerali Venance Mabeyo ilifanyika ikulu Dar es salaam. Sambamba na kuapishwa Mkuu wa Majeshi pia ameapishwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Aloyce Mwakibolwa kushika wadhifa huo uliokuwa unashikiliwa na Jenerali Venance Mabeyo.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • ›

Habari Mpya

  • Luteni Jenerali Othman aweka jiwe la msingi kuzindua Miradi ya Ujenzi Kisarawe

    Luteni Jenerali Othman aweka jiwe la msingi kuzindua Miradi ya Ujenzi Kisarawe

    tokea wiki 3
  • Kikao cha Polisi Jeshi chafunguliwa Morogoro

    Kikao cha Polisi Jeshi chafunguliwa Morogoro

    tokea wiki 3
  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    tokea miezi 4
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    tokea miezi 4
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.