Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano na Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) azungumzia uzinduzi wa Ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi wa Israel Mhe. Avigdor Lieberman amewasili nchini kwa ziara ya kikazi Machi 20, 2018 ambapo leo Machi 21, 2018 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi na JKT.
Soma zaidiMeli Vita za Jeshi la Wanamaji la India zikiongozwa na Vice Admiral Abhay Karve zimewasili nchini tarehe 19 Machi 2019.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 02 Machi 2018 limewaaga Majenerali waliostaafu utumishi jeshini kwa gwaride maalum.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo leo ameipokea timu ya Golf ya Lugalo ambayo imeshiriki Mashindano ya Wazi ya Golf kwa Wanawake nchini Nigeria na kuibuka mshindi wa jumla katika mashindano hayo.
Soma zaidiJWTZ limeungana na majeshi mengine duniani kuadhimisha siku ya michezo ya majeshi iliyofanyika katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT , Upanga jijini Dar es Salaam
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Februari 2018 amemuapisha Luteni Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo tarehe 06 Februari 2018.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.