Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amefunga rasmi mafunzo ya Mchezo wa Soka la Ufukweni yaliyoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Soma zaidiKamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Dodoma leo tarehe 12 Machi 2025 na kupongeza mafanikio yaliyofikiwa.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India hapa nchini Mhe. Bishwadip Dey ofisini kwake Msalato Jijini Dodoma leo tarehe 10 Machi 2025
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha Salamu za rambirambi kwa familia za wapiganaji
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali, Maafisa na Askari wa JWTZ Kanda ya Songea tarehe 28 Februari 2025.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amewaongoza maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani katika Maadhimisho ya Miaka 120 ya Kumbukumbu ya Vita vya Majimaji yaliyofanyika tarehe 27 Februari 25 katika eneo la Makumbusho ya Vita vya Majimaji Mjini Songea.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Othman amesisitiza umuhimu wa kuwa na umoja na ushirikiano baina ya wanajumuiya hasa katika nyanja za kiteknolojia ili kukuza viwanda vya nchi wanachama, kuleta ushindani kimataifa
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.