Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika juhudi zake za kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali nchini hususan Jiji la Dar es salaam nakutaka kuendelezwa juhudi hizo ili kutokomeza maradhi ya maambukizi nchini.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 24 Agosti 2018 limewaaga Majenerali waliostaafu utumishi jeshini.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akabidhiwa ukuta wenye urefu wa kilomita 14.4, unaozunguka uwanja wa ndegevita ulioko Ngerengere Mkoani Morogoro .
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Joseph Lesulie (mstaafu) leo tarehe17 Agosti, 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Harold Mziray (mstaafu) leo tarehe14 Agosti, 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Soma zaidiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMh. Kassimu Majaliwatarehe 13 Agosti, 2018 alifungua rasmi kozi fupi ya tano ya uongozi katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi kwa wataalamu wa Tiba watakaotoa huduma za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati za Jeshi hilo.
Soma zaidiMkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali Blasius Masanja leo Julai 28,2018 amefunga rasmi mafunzo ya kuruti kundi maalumu la pili.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.