Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Machi 2021 amewaongoza Viongozi na maelfu ya Watanzania katika shughuli za kutoa Heshima za Mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Soma zaidiMama Samia Suluhu Hassan ameapishwa na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma leo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mhe. John Elias Kwandikwa (Mb) amefanya ziara Makao Makuu ya muda ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. John Elias Kwandikwa (Mb) amefanya ziara na kukagua ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Machi 2021.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias Kwandikwa ametiliana saini na Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Regina Hess Mkataba wa Ujenzi wa Hospitali ya Kijeshi Jijini Dodoma.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini,Jenerali Venance Mabeyo leo Februari 15, 2021 amefanya ziara katika Vikosi vilivyopo Kanda ya Shinyanga na kuzungumza na Maafisa na Askari.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mh. Elias Kwandikwa ameipongeza Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kusaidia wanawake wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wanaoshiriki ulinzi wa amani.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anasikitika kutangaza kifo cha Afisa Mkuu Brigedia Jenerali Francis Xaiver Mbenna (Mstaafu).
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.