Wanafunzi wa chuo cha “The National Institute of Policy and Strategic Studies (NIPSS)” kutoka nchini Nigeria wamekitembelea kituo cha uwekezaji kilichopo Ubungo External jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kimafunzo.
Soma zaidiRais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera amefanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Dkt. John Pombe Magufuli katika Kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Nelson Hosea Msanja (Mstaafu) leo tarehe18 Septemba, 2020 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anasikitika kutangaza vifo vya Maafisa wa JWTZ
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo tarehe 21 Agosti 2020 limewaaga Majenerali waliostaafu rasmi utumishi kwa kutimiza umri wa lazima.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania katika mazishi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt Benjamin William Mkapa
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Salvatory Mabeyo leo tarehe 26 Februari 2020 amezindua rasmi Makao Makuu Mapya ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyopo wilaya ya Chamwino mjini Dodoma
Soma zaidiSherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika katika Uwanja wa Aman, Zanzibar.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.