Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Meja Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania.
Soma zaidiTimu ya mpira wa kikapu ya JKT wanaume yatinga nusu fainali katika mashindano ya BAMMATA yanayoendelea jijini Dodoma
Soma zaidiAmiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan awaongoza wananchi kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias John Kwandikwa.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kushirikiana na Jeshi la Marekani wamefungua Mafunzo Maalum ya kukabiliana na Vitendo vya Uhalifu ikiwemo Ugaidi na Uharamia.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua hospitali ya JWTZ iliyofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la nchi hiyo (GAFTAG)
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeadhimisha siku ya Mazingira duniani leo tarehe 05 Juni, 2021
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Mei 2021 amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Nduku Mabele kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.
Soma zaidiMkuu wa Jeshi la Umoja wa Mataifa linalotekeleza jukumu la ulinzi wa amani chini ya mpango wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), Luteni Jenerali Sidiki Daniel Traore amefanya ziara ya kikazi nchini
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.