Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limesema litaendelea kushirikiana na Jeshi la Ulinzi la Rwanda ili kudumisha amani na ustawi wa maendeleo kwa nchi zote mbili.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 386 leo tarehe 17 Aprili 2021 katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika makaburi ya familia nyumbani kwake wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita.
Soma zaidiKwa niaba ya Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo atoa pole .
Soma zaidiWaziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo amewaongoza maelfu ya waombolezaji katika kutoa Heshima za Mwisho kwa mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Soma zaidiRais Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza maelfu ya watanzania jijini Dodoma na mikoa jirani katika siku ya tatu ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini humo.
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Machi 2021 amewaongoza Viongozi na maelfu ya Watanzania katika shughuli za kutoa Heshima za Mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Soma zaidiMama Samia Suluhu Hassan ameapishwa na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma leo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.