Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jeneral Venance Salvatory Mabeyo amewatakia maafisa, Askari na Watumishi wa Umma Jeshini heri ya mwaka mpya katika kikao kilichovikutanisha vikosi vyote vilivyopo kanda ya Dodoma.
Akiongea katika kikao hicho Jenerali Mabeyo amewapongeza Maafisa na Askari wa JWTZ kwa uadilifu, weledi na umoja waliouonesha walipokuwa wakitimiza majukumu yao na kuwataka waendelee na moyo huo kwa mwaka 2022
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.