• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

JWTZ NA JESHI LA MAREKANI KUBADILISHANA UZOEFU

JWTZ NA JESHI LA MAREKANI KUBADILISHANA UZOEFU Posted On: Friday, 28th January 2022

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Marekani leo Januari 28, 2022. Yamefungua zoezi la pamoja kwa Maafisa na Askari wa vikundi maalum wa majeshi hayo. Zoezi hilo limefunguliwa katika Kituo cha Ulinzi wa Amani Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Aidha, Zoezi hilo litafanyika kuanzia Januari 28, 2022 hadi Machi 18, 2022.

Akizungunza wakati wa ufunguzi wa zoezi hilo, Brigedia Jenerali Idd Said Nkambi amesema, mazoezi kama haya husaidia kubadilishana uzoefu hivyo kuwajengea uwezo Maafisa na Askari katika utekelezaji wa majuku yao. Vile vile mazoezi ya pamoja hujenga uhusiano Mzuri kati ya washiriki na nchi husika kwa ujumla.

Kufanyika kwa zoezi la pamoja kati ya wanajeshi wa Tanzania na wanajeshi wa Marekeni kunaonesha uhusiano thabiti kati ya majeshi hayo.

Habari Mpya

  • ​MEJA JENERALI GAGUTI AHITIMISHA MAFUNZO ASKARI WAPYA.

    ​MEJA JENERALI GAGUTI AHITIMISHA MAFUNZO ASKARI WAPYA.

    tokea siku 3
  • Luteni Jenerali Othman ashiriki Kongamano kuhusu Usalama wa Kitaifa

    Luteni Jenerali Othman ashiriki Kongamano kuhusu Usalama wa Kitaifa

    tokea wiki 3
  • Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    tokea mwezi 1
  • Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha  Ushirikiano

    Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha Ushirikiano

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.