Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Mashindano ya Michezo ya Majeshi BAMMATA kwa mwaka wa 2025, ambayo yanafanyika mjini Zanzibar.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa nchi za Falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Eisa Saif Mohamed Bin Ablan Almazrouei amefanya ziara ya kikazi nchini Tanzania leo tarehe 14 Julai 2025.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetoa msaada wa maboksi mia moja ya vigae na matenki matano yenye ujazo wa lita elfu kumi kila moja kama mchango wake katika ujenzi wa nyumba nane zilizopo Wilaya ya Karongi nchini Rwanda, kwaajili ya manusura wa mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mh Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF CUP 2025) kwa msimu wa saba tangu kuanzishwa kwake. Ufunguzi huo umefanyika katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai 2025.
Soma zaidiMkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amehitimisha Mafunzo ya Askari wapya katika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi iliyopo Kihangaiko , Msata Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, leo tarehe 28 Juni 2025.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kupitia Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania limeandaa Kongamano kuhusu Usalama wa Kitaifa lililofanyika katika hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha tarehe 6 Juni 2025.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda Leo amefungua rasmi Kikao cha 33 cha Mwaka cha Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jumuhiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinachofanyika jijini Arusha Tanzania.
Soma zaidiKikao cha 40 cha Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Ulinzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kimehitimishwa rasmi tarehe 16 May, 2025 jijini Arusha
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.