• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Shule ya Polisi Jeshi Mafinga

Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi  Shule ya Polisi Jeshi Mafinga Posted On: Friday, 12th September 2025

‎Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda leo tarehe 12 Septemba 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Polisi Jeshi katika kijiji cha Mkanzaule Wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa.

‎

Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Jenerali Mkunda alisema kuwa kwa upande wa Jeshi ni historia na ni mara ya kwanza kwa Polisi Jeshi kuwa na shule yao ya kujitegemea huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo jeshini.

Pia alisema uamuzi wa kujenga shule hiyo ni jawabu mojawapo la kuhakikisha Polisi Jeshi wanapata mafunzo yenye utaalamu wa kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kipolisi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa.

‎

‎Aidha, akizungumza mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi, Jenerali Mkunda amewaasa Maafisa na Askari kuviishi viapo vyao wakati wote wanapotekeleza majukumu ya kijeshi.

Habari Mpya

  • Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    tokea masaa 13
  • Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi  Shule ya Polisi Jeshi Mafinga

    Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Shule ya Polisi Jeshi Mafinga

    tokea masaa 13
  • Mashindano ya BAMMATA yazinduliwa

    Mashindano ya BAMMATA yazinduliwa

    tokea siku 5
  • Mkuu wa Majeshi ya UAE afanya Ziara Tanzania

    Mkuu wa Majeshi ya UAE afanya Ziara Tanzania

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.