Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Vincent Nundwe leo tarehe 24 Agosti 2022 amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi ya zamani yaliyopo Upanga Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Jacob Mkunda.
Soma zaidiMkuu wa Utumishi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli amefunga rasmi mafunzo ya JKT kundi maalum la kwa mujibu wa sheria kwa waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Operesheni Jenerali Mabeyo.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 31 Julai 2022 limempokea rasmi bondia kutoka timu teule ya ngumi ya Jeshi Sajinitaji Sulemani Kidunda katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Soma zaidiAliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (mstaafu) ameagwa rasmi kwa gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake.
Soma zaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kumtembelea Ikulu ya Zanzibar tarehe 14 Julai 2022.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi akabidhiwa ofisi na aliyekuwa mtangulizi wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo
Soma zaidiMnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Salum Haji Othman ameanza kazi rasmi tarehe 04 Julai 2022 baada ya kufanyika makabidhiano na aliyekuwa mtangulizi wake
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenerali Jacob Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi pamoja na Luteni Jenerali Salim Othman kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.