• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Jenerali Mkunda akutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Jenerali Mkunda akutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Posted On: Thursday, 27th February 2025

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025.

Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na Usalama ya Mkoa huo kwa kuhakikisha kuwa hali ya Usalama katika eneo la mpaka wa Tanzania kwa upande wa Mkoa wa Ruvuma liko salama wakati wote.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kanali Ahmed Abass Ahmed amelishukuru JWTZ kwa namna linavyohakikisha Mkoa wa Ruvuma unakuwa salama wakati wote hali inayosababisha wananchi wa Mkoa huo na maeneo ya jirani kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu.Amemhakikishia kuwa uongozi wa Mkoa utaendelea kutoa ushirikiano kwa JWTZ katika mambo yote ambayo utahusishwa.

Kwa mujibu wa Msemaji wa JWTZ Kanali Gaudentius Ilonda,Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi yuko mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine atashiriki Sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji inayofanyika leo tarehe 27 Februari 2025

Habari Mpya

  • Luteni Jenerali Othman ashiriki Kongamano kuhusu Usalama wa Kitaifa

    Luteni Jenerali Othman ashiriki Kongamano kuhusu Usalama wa Kitaifa

    tokea wiki 2
  • Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    tokea wiki 3
  • Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha  Ushirikiano

    Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha Ushirikiano

    tokea mwezi 1
  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.