• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi...
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi...
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma...
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni...
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu...
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda

Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda Posted On: Tuesday, 25th February 2025

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Baran Sillo amefungua kikao cha Wakuu wa Viwanda na Mashirika ya Kijeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo tarehe 25 Februari 2025 katika ukumbi wa Twiga Hotel uliopo jijini Dar es salaam.


Kikao hicho ni mwendelezo wa vikao vya kila mwaka, lengo likiwa ni kubadilishana ujuzi hasa katika teknolojia ili kuwa na viwanda vitakavyoweza kufanya vizuri katika uzalishaji kimataifa.


Nchi zinazoshiriki kikao hicho ni pamoja na Kenya, Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi, Somalia pamoja na Sudan ya Kusini ambapo Tanzania ni Mwenyeji wa kikao hicho.


Kikao hicho kinafanyika kwa siku mbili hadi kilele chake tarehe 26 Februari 2025

Habari Mpya

  • Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    Jenerali Mkunda afungua Kikao cha Wakuu wa Majeshi SADC

    tokea siku 1
  • Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha  Ushirikiano

    Afrika Mashariki Yaendelea Kuimarisha Ushirikiano

    tokea wiki 2
  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea wiki 4
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.