Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 740 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Kijeshi cha Maafisa Monduli, Jijini Arusha tarehe 26 Novemba 2022.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kuonesha utayari wa hali ya juu wa kuilinda mipaka ya nchi ya Jamhri ya Muungano wa Tanzania.
Soma zaidiMkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Meja Jenerali Shabani Balaghash Mani amefungua rasmi zoezi la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lijulikanalo kama Dragon Fly katika Mikoa ya Lindi na Mtwara.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo ameanza ziara ya kutembelea na kufanya ukaguzi wa Vikosi, Vyuo na Shule za Kijeshi Mkoani Arusha ili kujionea utayari wa Kivita na Mafunzo.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda amefunga rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi la mchezo wa Gofu "CDF Golf Trophy 2022" katika viwanja vya Gofu Lugalo Jijini Dar es Salaam na kutoa zawadi mbalimbali kwa washindi wa mchezo huo.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda amefunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa Askari wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kundi la 41/22 katika Shule ya Mafunzo ya awali ya kijeshi Kihangaiko kwa Gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kushirikiana ili kuilinda nchi ya Tanzania.
Soma zaidiTanzania na Jamhuri ya Comoro zimetiliana saini mkataba wa ushirikiano kwenye nyanja za kijeshi.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.