Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amekabidhi mabasi makubwa idadi tatu kwa JWTZ na basi moja dogo kwa Jeshi la Magereza baada ya magari hayo kufanyiwa ukarabati na kampuni ya Dar Coach Ltd iliyopo jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMafunzo ya Makocha wa mchezo wa Ngumi na Mpira wa Kikapu yaliyokuwa yakiendeshwa kwa Makocha wa JWTZ yamefungwa rasmi tarehe 01 Februari 2018 kwenye Kambi ya JKT Mgulani.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania linaendelea kujizatiti dhidi ya majanga yanayoikumba dunia kwa hivi sasa ikiwemo, ugaidi,uharamia,na maafa mengine.
Soma zaidiJenerali Venance Salvatory Mabeyo amewakaribisha nyumbani Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kundi la Tano la Ulinzi wa Amani (TANZBATT-5)
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo afanya ziara kutembelea maeneo ya Selous katika maporomoko ya maji ya mto Rufiji mkoani Pwani
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo Octoba 9 amefanya ziara kutembelea ujenzi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge Railway) unaoendelea nchini. Reli hiyo inaanzia Dar es salaam hadi Dodoma.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa Vizimba 9 na Mabwawa 18 ya Samaki aina ya Sato yanayomilikiwa na Kikosi cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Mjini Musoma tarehe 6 Septemba 18
Soma zaidiZoezi la Utulivu Africa IV CPX 2018 ambalo lilifanyika kwa muda usiopungua siku kumi tangu kuanza kwake leo tarehe 03 Septemba 18 limefungwa rasmi na Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uganda Mh. Lt col (rtd) Charles Engola katika viwanja vya Gadafi Jinja nchini Uganda
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.