• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • JWTZ wavishwa Nishani Dodoma

    JWTZ wavishwa Nishani Dodoma

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amewavisha Nishani Maafisa na Askari wa JWTZ.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo awatakia Heri ya Mwaka Mpya

    Jenerali Mabeyo awatakia Heri ya Mwaka Mpya

    tokea mwaka 1

    ​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jeneral Venance Salvatory Mabeyo amewatakia Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma Jeshini heri ya mwaka mpya

    Soma zaidi
  • Watanzania washerehekea miaka 60 ya Uhuru

    Watanzania washerehekea miaka 60 ya Uhuru

    tokea mwaka 1

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan amewaongoza watanzania kwa kusherehekea miaka 60 ya Uhuru katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

    Soma zaidi
  • JWTZ  latahadharisha wanaofanya utapeli

    JWTZ latahadharisha wanaofanya utapeli

    tokea mwaka 1

    ​Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya vitendo vya utapeli vinavyofanywa na baadhi ya watu kuwarubuni vijana wanaotaka kujiunga na JWTZ kwa kupokea fedha zao.

    Soma zaidi
  • Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    tokea mwaka 1

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 118 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    Soma zaidi
  • Amiri Jeshi Mkuu Azindua Mkutano wa Makamanda

    Amiri Jeshi Mkuu Azindua Mkutano wa Makamanda

    tokea mwaka 1

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa tano wa makamanda tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Brigedi ya Chui Jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu azindua Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi

    tokea mwaka 1

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua jengo jipya la Chuo Cha Ulinzi cha Taifa (NDC) kilichopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo azindua kituo cha Burudani

    Jenerali Mabeyo azindua kituo cha Burudani

    tokea mwaka 1

    ​Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo amewataka wakuu wa vikosi vya JWTZ na JKT kuwa wabunifu katika kubuni miradi mbalimbali ya kibiashara ili Kujenga uwezo wa kifedha wa kuhudumia shughuli mbalimbali za Kijeshi ikiwemo Mafunzo ya Vijana.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 24
  • 25
  • ›

Habari Mpya

  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea wiki 2
  • Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    tokea miezi 3
  • Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    tokea miezi 4
  • Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    tokea miezi 5
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 6
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.