Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa Leo tarehe 17 Juni 2023 ametunuku Shahada ya Uzamili na Shtashahada ya Mafunzo ya Ulinzi na Usalama kwa Maafisa jumla 65 waliokuwa wakisoma kwenye Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo Duluti Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salim Haji Othman ameyataka majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ulinzi katika kupambana na ugaidi ndani ya nchi zao.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amefunga rasmi zoezi la kivita KAA TAYARI lililokuwa linafanyika katika misitu ya Nyahua Wilayani Sikonge Mkoani Tabora.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othuman amefungua rasmi kikao cha 20 cha Huduma za Afya kwa Majeshi ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Jijini Arusha.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana wa Kitanzania wenye elimu ya kuanzia Kidato cha Nne hadi Shahada ya Uzamili ambao wamemaliza Mkataba wa Mafunzo ya Kujitolea JKT na kurudishwa majumbani.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 740 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Kijeshi cha Maafisa Monduli, Jijini Arusha tarehe 26 Novemba 2022.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kuonesha utayari wa hali ya juu wa kuilinda mipaka ya nchi ya Jamhri ya Muungano wa Tanzania.
Soma zaidiMkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Meja Jenerali Shabani Balaghash Mani amefungua rasmi zoezi la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lijulikanalo kama Dragon Fly katika Mikoa ya Lindi na Mtwara.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.