Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Othman amesisitiza umuhimu wa kuwa na umoja na ushirikiano baina ya wanajumuiya hasa katika nyanja za kiteknolojia ili kukuza viwanda vya nchi wanachama, kuleta ushindani kimataifa
Soma zaidiMeja Jenerali Nkambi apokea ujumbe kutoka Jeshi la Algeria unaoongozwa na Brigedia Jenerali Zegrour Sayed Hisham Makao Makuu ya Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi
Soma zaidiNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Baran Sillo amefungua kikao cha Wakuu wa Viwanda na Mashirika ya Kijeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Soma zaidiJWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Marekani pamoja na Majeshi ya Mataifa mengine 13 wamehitimisha Zoezi la pamoja la Kijeshi la Majini "CUTLASS EXPRESS"
Soma zaidiMkuu wa Tawi la Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Fatma Mwasa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera tarehe 20 Februari 2025.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea Meli Tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Peace Ark ili kuona matibabu yanavyofanyika.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.