Zoezi lililoandaliwa kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki limefungwa rasmi tarehe 10 June, 2022 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Rebecca Alitwala Kadaga Makamu wa Kwanza wa Waziri Mkuu wa Uganda na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Soma zaidiMeja Jenerali Anthony Chacha Sibuti akabidhi bendera ya Taifa kwa kikundi kinachokwenda kushiriki zoezi la Ushirikiano Imara 2022 nchini Uganda
Soma zaidiLuteni Jenerali Mathew Mkingule leo tarehe 23 Mei 2022 amefungua Semina ya Wataalamu wa Saikolojia na Masuala ya Jamii iliyoandaliwa na JWTZ.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa JWTZ kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, ametoa salamu za rambirambi kwa Wakenya wote kwa kufiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu, Mhe. Mwai Kibaki
Soma zaidiMkuu wa Majeshi wa Uganda Jenerali Wilson Mbadi awasili nchini kwa ziara ya kikazi
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo March 3, 2022 limekabidhiwa Jengo la Utafiti na Kikundi cha Ushauri wa Kiufundi Cha Jeshi la Ujerumani (German Armed Forces Technical Advisory Group - GAFTAG) lililojengwa katika Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax leo February 23, 2022 amekabidhi Leseni za Urubani kwa Maafisa 20 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliomaliza mafunzo yao nchini Afrika Kusini Novemba 2021.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) ameweka rasmi jiwe la msingi katika uzinduzi wa Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania inayojengwa Msalato Dodoma tukio lililofanyika Alhamisi tarehe 10 Feb 22.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.