Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax amefanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Tanzania yaliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam tarehe 12 Octoba 21
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) leo tarehe 28 Septemba 2021 ameitembelea Makao Makuu ya Jeshi yaliyopo Msalato, jijini Dodoma.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Methew Mkingule amefanya ziara katika vikosi vilivyopo mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es salaam.
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri ambapo tarehe 13 Septemba, 2021 amemuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Soma zaidiMkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi amehitimisha rasmi mafunzo maalum ya kupambana na vitendo vya uhalifu vinavyojitokeza kwenye mataifa mbalimbali duniani
Soma zaidiAliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Balozi Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed leo tarehe 23 Agosti, 2021 amemkabidhi ofisi Mnadhimu Mkuu anayechukua nafasi yake, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule.
Soma zaidiAmiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Meja Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania.
Soma zaidiTimu ya mpira wa kikapu ya JKT wanaume yatinga nusu fainali katika mashindano ya BAMMATA yanayoendelea jijini Dodoma
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.