• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax avisihi vyombo vya Ulinzi na Usalama

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax avisihi vyombo vya Ulinzi na Usalama Posted On: Friday, 9th September 2022

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kushirikiana ili kuilinda nchi ya Tanzania.

Ameyasema hayo kwenye sherehe ya kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venancy Salvatory Mabeyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Amesema nchi ya Tanzania itakuwa salama iwapo vyombo vya Ulinzi na Usalama vitashirikiana kikamilifu.

Sherehe hiyo iliandaliwa na Kamati ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wake Jenerali Venancy Salvatory Mabeyo (Mstaafu) Msasani Klabu Jijini Dar es Salaam.

Habari Mpya

  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea wiki 2
  • Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    tokea miezi 3
  • Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    tokea miezi 4
  • Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    tokea miezi 5
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 6
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.